Header

August 2017


August 28, 2017

Hiki cha Patoranking na Diamond Platnumz chafichua ukweli wa tetesi za mtoto

Uvumi wa Staa na mkali wa ngoma ya 'No Kissing Baby' kutoka Nigeria Patoranking kuwa anatengemea kupata mtoto katika siku za usoni umegeuka na kuwa katika sura nyingine ambayo inamhusisha pia Diamond Platnumz. https://www.instagram.com/p/BYDb5W5Bn85/?hl=en&taken-by=patorankingfire Picha likaendelea kwa picha hii. https://www.instagram.com/p/BYQOuBBB4hn/?hl=en&taken-by=patorankingfire Kufuatia tetesi hizi ... Read More »

August 28, 2017 0August 26, 2017

Hizi ndio views za Zilipendwa ndani ya saa 24!

Video ya wimbo Zilipendwa ulioikutanisha timu nzima ya WCB, imevutia views 554,000+ ndani ya saa 24 tangu iwekwe Youtube. https://www.youtube.com/watch?v=dpFpApiQ5dk Ngoma hiyo iliyotayarishwa na Lizer na iliyotoka kwa kushtukiza Ijumaa hii, imeimbwa na Diamond, Rich Mavoko, Ray Vanny, Harmonize, Lava ... Read More »

August 26, 2017 0