Header

September 2017

September 28, 2017

Video Mpya: Chorus – Instagram

Kazi ya msanii mpya wa Nisher Entertainment, Chorus. Ngoma inaitwa Instagram iliyotayarishwa na Nisher na huku video kuongozwa na yeye mwenyewe. https://www.youtube.com/watch?v=iXZI4sv26fk&feature=youtu.be

September 28, 2017 0


September 28, 2017

Video Mpya: Madee f/ Nandy – Sema

Madee ameachia video ya wimbo wake mpya Sema aliomshirikisha Nandy. Kwenye video hiyo iliyoongozwa na Khalfani, Dogo Janja ndiye ameiigiza na Madee haonekani. Wimbo umetayarishwa na Daxo Chali wa MJ Records. https://www.youtube.com/watch?v=Uptt1RU7tls&feature=youtu.be

September 28, 2017 0