Header

Serena Williams ajifungua mtoto wa kike

Staa wa mchezo wa tennis nchini Marekani, Serena Williams amejifungua mtoto wa kike kwenye kliniki ya huko Florida.

Williams, 35, ambaye mchumba wake ni mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa Reddit, Alexis Ohanian, alilazwa kwenye hospitali ya St Mary’s Medical Center huko West Palm Beach siku ya Jumatano.

Pongezi kutokaa kwa mastaa na mashabiki zimemmiminikia.

Comments

comments

You may also like ...