Header

Designer Makeke kuiwakilisha Tanzania kwenye maonesho ya Face of Culture Nigeria

Msanii wa mitindo inayohusu utamaduni wa Mwafrika JOCKTAN MAKEKE wa MAKEKE INTERNATIONAL Alhamis anatarajia kwenda Abuja nchini Nigeria kwa ajili ya maonesho makubwa ya utamaduni ya FACE OF CULTURE NIGERIA ambapo ataonesha mavazi yenye ubunifu wa hali ya juu ambayo yanakwenda kwa jina la #OTOSIM2017


Jocktan Makeke baada ya kukabidhiwa bendera na mkurugenzi wa bodi ya utalii Tanzania mapema leo asubuhi

Tamasha hilo litafanyika siku ya tarehe 09/09/2017 katika ukumbi wa Sheraton Hotel ya mjini Abuja.

Aidha maonesho hayo yameambatana na utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali ambao wamefanya vizuri kwenye mambo ya utamaduni.

Comments

comments

You may also like ...