Header

UEA2017: Wizkid na Davido wakalishwa na Ray Vanny

Ray Vanny amewazidi kete magwiji wa muziki wa Afrika, Wizkid na Davido kwa kuinyakua tuzo ya Uganda Entertainment Awards kipengele cha African Act of the Year aliyokuwa akishindana nao. Tuzo hizo zimetolewa Jumamosi jijini Kampala.

“Rayvanny: ( WINNER ) AFRICAN ACT OF THE YEAR 🔥🔥🔥🔥 God is good all the time……,” ameandika Ray kwenye Instagram.

Naye Diamond ameshinda kipengele cha East African Act na kuwashinda Khaligraph, Eddy Kenzo na Darassa.

Comments

comments

You may also like ...