Header

Kwa shilingi milioni 2.2 utainunua iPhone X?

Wapenzi wa simu za iPhone wanahaha kujichanga ili wajipatie simu mpya, iPhone X zilizoinduliwa na kampuni ya Apple. Zitaanza kuuzwa kwa pre-order Ijumaa hii.

Hata hivyo itahitaji kujipanga vyema kununua simu hizo. Zinaitwa $1000 ambayo ni zaidi ya shilingi milioni 2.2. Pia iPhone 8 na iPhone 8 Plus zimezinduliwa.

Tazama baadhi ya picha za simu hizo hapo chini.

Comments

comments

You may also like ...