Header

Mzee Chillo akiri pengo la Steven Kanumba na kutoa njia ya kuiokoa Bongo Movie

Msanii mkongwe wa sanaa ya maigizo kutoka Tanzania Ahmed Olotu anayefahamika zaidi kwa jina la Mzee Chillo amekanusha maoni ya wengi ya kuwa tasnia ya filamu na maigizo Tanzania imekufa kwa kuwakosa baadhi ya waigizaji na waongozaji akiwemo muigizaji aliyepanda kwa kasi marehemu Steven Kanumba.

Akizungumza na Dizzim Online Chillo amekiri kuwepo kwa pengo la Steven Kanumba na kuikataa sababu hiyo ya kutokuwepo kwake kuwa tasnia imeshindwa kuendelea na kuonekana kuwa inadidimia huku akifunguka zaidi na kuzitaja changamoto tofauti zinazoikumba tasnia ya filamu  Tanzania kwa sasa.

Msikilize katika mahojiano

Comments

comments

You may also like ...