Header

Babutale na mkewe wajaaliwa kupata mtoto wa kike

Meneja wa Diamond Platnumz na Tip Top Connection, Babutale na mke wake Shammy, wamepata mtoto wa kike. Tale ametangaza habari hizo njema Alhamis hii kupitia Instagram. Akiweka picha ya mkewe wakati akiwa mjamzito, Tale ameandika: Thank God it’s a girl!”

Miongoni mwa waliompongeza ni mchumba wake Diamond, Zari The Bosslady. Tale na Shammy tayari wana watoto watatu wa kiume.

Comments

comments

You may also like ...