Header

Wizkid aweka rekodi kwa show yake ya London, UK

Wizkid amezidi kujiwekea rekodi kubwa kwenye muziki wa Afrika. Starboy amekuwa msanii wa kwanza wa Afrika kuujaza ukumbi maarufu uitwao Royal Albert Hall. Amefanya sold out concert Ijumaa hii kwenye ukumbi huo wa London wenye siti zaidi ya 5,000.

Kupitia Instagram, hitmaker huyo wa Nigeria ameandika: Thank u London!❤️ Amazing experience.”

Comments

comments

You may also like ...