Header

October 2017October 31, 2017

Selena Gomez na The Weeknd wamwagana

Uhusiano wa The Weeknd na Selena Gomez umevunjika. Wapenzi hao wanadaiwa kuachana baada ya kudumu kwa miezi 10 tu. Ratiba zao ngumu imedaiwa kuwa chanzo kikubwa cha kuachana kwao. Hivi karibuni Gomez amekuwa akionekana na ex wake, Justin Bieber. Wiki ... Read More »

October 31, 2017 0


October 31, 2017

Mkongwe Dj Juice Afariki Dunia

Dj wa muda marefu na mkongwe katika tasnia ya muziki na Burudani Tanzania, Hussein Juma a.k.a Dj Juice amefariki Dunia usiku wa kuamkia tarehe 31 katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es salaam. Kupitia ukurasa wa Instagram wa rafiki yake ... Read More »

October 31, 2017 0