Header

Hamisa Mobetto aumizwa na birthday wish ya Idris Sultan kwa Diamond

Utani wa Idris Sultan umemweka kikaangoni. Mtangazaji na mchekeshaji huyo amemtumia salamu za siku ya kuzaliwa Diamond na kuweka utani uliomfanya ajikute akikosolewa vikali.

Ni Hamisa Mobetto ndiye aliyeumizwa zaidi na utani huo kiasi cha kuamua kumjibu Idris.

Kutokana na kupokea lawama nyingi kwa ujumbe wake, Idris aliifuta post hiyo na kuweka nyingine ya kuomba radhi.

Comments

comments

You may also like ...