Header

Babbi Music anakabwa kwa hiki cha kujirudia kwa mrembo kwenye video zake

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Tanzania mwenye makazi yake kwa sasa Marekani katika kufuatana kwa kazi zake imegundulika matumizi ya mhalaki/video vixen wa kike mmoja katika video mbili tofauti ambazo ni video za muziki wa ‘Kwasakwa’ na ‘Kikomando’.

Kupitia umakini wa hiki kilichogundulika kuhusu kujirudia kwa video vixen wa kike katika video hizi mbili ni mrembo huyo kuwa na utambulisho wake wa mchoro wa tatoo kwenye paja  kitu ambacho mbali na kuipamba bado kumeibuka maswali kati ya wachache na kwenda mbali zaidi kiasi cha kudhaniwa kuwa video vixen huyu asije kuwa ndiye anayemiliki usingizi wa Babbi Music.

Kipande kinachomuonesha mrembo aliyejirudia katika video

Zitazame kwa umakini video hivi utagundua hilo, chumba cha habari cha Diziim Online kimelizamia hili kwa lengo la kujua kilichopelekea kufanyika kwa hilo katka video mbili tofauti kisha kikafuatana katika utokaji huku ikizungatiwa

Kipande cha video ya pili ambayo ni mpya inagundulika kuwa mrembo huyu amejirudia tena

Comments

comments

You may also like ...