Header

Jarida la Forbes latoa orodha ya watangazaji maarufu Duniani wanaolipwa pesa nyingi zaidi mwaka 2017

Jarida maarufu Duniani la Forbes limetoa orodha ya watangazaji wa re maarufu na wakubwa Duniani wanaolipwa lipwa fedha nyingi zaidi kuanzia mwezi Juni mwaka jana mpaka mwezi Juni mwaka huu.

Katika nafasi ya kwanza Jarida hilo nimemtaja Howard Stern kuwa ana mkwanja wenye thamani ya dola za kimarekani Milioni 90 ambayo ni sawa na Tsh. 202,050,000,000.

Howard Stern

Howard Stern ambaye yyuko katika mkataba mkubwa na kituo cha SeriusXM kwa sasa anamiliki jumla ya kiasi cha utajiri wa dola za kimarekani milioni 450.

Katika nafasi ya pili mtangazaji mwenye kulipwa mkwanja mrefu ni zaidi ni muongozaji wa kipindi maarufu cha ‘Trump bump’ Rush Limbaugh ambaye amelipwa dola za kimarekani milioni 84  kiasi ambachi ni sawa na Tsh. 202,050,000,000.

Rush Limbaugh

Katika nafasi ya tatu imeshikwa na mtangazaji maarufu kupitia kipindi chake maarufu cha On Air With Ryan Seacrest kwa kulipwa dola za kimarekani 58 kiasi ambacho ni sawa na Tsh. 130,210,000,000.

Ryan Seacrest

 

Comments

comments

You may also like ...