Header

‘Oyaa nilipe changu’ Tunda amuumbua Young Dee kwenye Instagram

Siku ya kulipa deni haichelewi, lakini vipi ikifika na wewe hujajiandaa? Pagumu, lakini usiombee anayekudai awe Tunda, mrembo wa video maarufu Bongo – atakuabisha mtandaoni. Tena hana salia mtume hata kwa ex wake, Young Dee.


Young Dee alikuwa alitupia picha Instagram yenye caption, “Unaposoma comment ya mtu ambae kama.. ? Haya mambo tufanye kama utani tu.” Alipata comments nyingi ikiwemo ya Tunda aliyeandika kibandidu, “OYAA NAOMBA UNIPE MZIGO WANGU KABLA SIJAKUDHALILISHA.”

Labda Young Dee inabidi afahamu kuwa dawa ya deni ni kulipa tu. Tunda na Young Dee wamewahi kuwa na uhusiano wa kuachana na kurudiana mara nyingi

Comments

comments

You may also like ...