Header

The Weeknd kuja na kitabu cha michoro ‘Starboy’

The Weeknd akishirikiana na kampuni ya Marvel, anakuja na kitabu chake cha michoro (comic book) kiitwacho Starboy.

Staa huyo wa Canada alionesha cover ya kitabu hicho kwenye New York Comic-Con na kutumia Twitter kuwajulisha mashabiki wake.

“The Weeknd and Marvel presents : STARBOY… comic book coming soon. I’ll be signing autographs in the Marvel Booth @ 2:30 #NYCC,” ameandika.

Kitabu hicho kitapatikana mwakani.

Comments

comments

You may also like ...