Header

Amitabh Bachchan katika ubora wake na umiliki wa pesa ndefu

Staa na mkongwe wa filamu za kihindi(Bollywood) Amitabh Bachchan anaisherehekea siku yake ya kipekee ambayo wengi huikumbuka katika maana ya kufanana kwa tarehe ya kuzaliwa(Birthday).

Kwa Amitabh Bachchan sasa hivi anamiliki mkwanja wenye thamani ya dola za kimarekani Milioni 400($400) kwa mujibu wa ripoti ya mwezi Mei 25 mwaka huu na taarifa za kuaminika kimahesabu ni kuwa Amitabh ameonekana katika zaidi ya filamu 180 katika umaarufu wa kazi yake.

Akiwa ni mwenye kutimiza umri wa miaka 75, Kingine ni kuwa Amitabh ameingia katika orodha ya kati ya mastaa wa filamu wenye nguvu zaidi nchini India katika historia ya sinema.

Comments

comments

You may also like ...