Header

Malaika: Hata iweje muziki siwezi kuacha kamwe

Malaika amesema hakuna kitu kinachoweza kumfanya aache muziki hata kama akipata pesa kiasi gani. Ameiambia Dizzim Online kuwa hawezi kukubali kipaji chake kipotee bure.

“Yaani mimi napenda kazi yangu ya muziki sana ingawa kwa sasa muziki umebadilika umekuwa tofauti na zamani, lakini sio sababu ya mimi kukata tamaa na sifikirii kuacha muziki eti nifanye biashara au nifanye kitu kingine noo! Siwezi na naweza kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja yaani biashara na muziki ila kuacha hapana,” amesisitiza mrembo huyo.

Siku za hivi karibuni Malaika amekuwa kimya tofauti na siku za nyuma.

Comments

comments

You may also like ...