Header

Nuh Mziwanda: Nilitaka watu waisikie zaidi ‘Bao la Ushindi’ kabla ya video

Nuh Mziwanda ametupa sababu iliyomfanya achelewe kuachia video ya wimbo wake Bao la Ushindi. Ameiambia Dizzim Online kuwa mipango iliingiliana na masuala binafsi pamoja na kutaka kuipa nafasi audio kwanza.

“Kuchelewa kwa video hakukuwa kwa bahati mbaya, tulikuwa na plan zetu, tulikuwa tunataka kuipa muda audio isikilizwe vizuri na mashabiki,” amesema.

“Baada ya hapo ndio video ifuate na itazamwe vizuri na mashabiki. Halafu pia mimi naamini hasa kwenye audio maana zamani mambo ya video yalikuwa hayapo so bado audio ina nguvu yake  ya kusikilizwa zaidi, amesisitiza.

Comments

comments

You may also like ...