Header

Akiwa na Harmonize, Korede Bello awakomesha wasiopenda raha ya penzi lake

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Korede Bello na hitmaker wa ngoma ya Romantic aliyomshirikisha Tiwa Savage akishirikiana na msanii kutoka katika lebo ya muziki ya Wasafi Tanzania ‘Harmonize’ wameachia kolabo ya ngoma yao inayokwenda kwa jina ‘Shulala’.

Korede ambaye bila shaka wengi walitamani kusikia ni nini atakifanya kutokana na uwezo wake kimuziki kuwa mkubwa, amesikika akiyatumia maneno ya kuswahili jambo ambalo bila shaka kwa mataifaya watu wanaotumia na kukithamni kiswahili yatampa sikio zaidi ikiwemo Tanzania na Kenya.

Korede Bello Utamsikia…

…tukomeshe wenye chuki, Mamluki/ lakusema wakose, tukisakata buzuki…buzuki, nawavimbe wapasuke…/

Korede Bello ameonekana katika ‘Shulala’ ukiwa ni uashirikiano wake na Harmonize akiwa ni msanii mwenye makubaliano na mkataba chini ya lebo ya muziki ya Mavin Records inayomilikiwa na mtayarishaji wa muziki na msanii wa kutoka nchini Ningeria Don Jazz.

Comments

comments

You may also like ...