Header

‘Ngosha’ Fid Q aonekana duka la silaha nzito nzito majuu

Usalama binafsi umekuwa ishu sana hadi Fid Q kunaswa na kamera katika duka la silaha nzito nzito huko majuu? Kupitia mtandao wa Twitter shabiki mmoja kamuuliza Fid Q kuhusiana na kuonekana huko na haya ndio yalikuwa majibu yake.

Hadi sasa Fid Q bado hajathibitisha taarifa hizo kama ni za kweli au lah.

Comments

comments

You may also like ...