Header

AY, Fid Q na Mwana FA waachia video mpya ‘Upo Hapo’

Wakali na wakongwe wa Bongo fleva Mwana FA, AY wakishirikiana na Fareed Kubanda aka Fid Q wamezindua ngoma yao mpya jana jijini Dar katika uzinduzi uliofanyika Tips Bar Mikocheni.

Video hiyo inayobeba stori ndani yake inaitwa UPO HAPO na humo ndani Mwana FA anajulikana kama “Godfather”, AY yeye kachukua uhusika wa “The Butcher” na Fid Q anajulikana kama “Lord of War”
Tumia dakika zako chache tu kutazama video hiyo hapo juu na check picha za uzinduzi hapo chini.

Comments

comments

You may also like ...