Header

Barnaba agusia chimbuko la kupewa heshima kama muandishi, Atoa orodha ndefu ya mastaa wa kike

Staa wa muziki wa kizazi kipya Tanzania Barnaba Elias ‘Barnaba Boy’ amezungumzia ukweli unaobeba thamani ya uwezo wake katika uandishi na utunzi wa nyimbo na kiwango cha heshima anayopewa na wengi walioshuhudia na wanaoshuhudia uwezo wake katika kizazi cha muziki wa kizazi kipya.

Akipiga stori na Dizzim Onl;ine Barnaba amesema kuwa, ukubwa na heshima anayopewa katika nafasi yake ya utunzi wa muziki ameridhika nayo hata kuuzungumzia kwa undani ukubwa huo kwa kuwataja wasanii maarufu Tanzania waliopata huduma yake ya kuwaanidkia nyimbo zilifanya vizuri katika soko la muziki wa kizazi kipya.

Msikilize katika Exclusive Interview mbele ya kamera za Dizzim Online.

Comments

comments

You may also like ...