Header

Chris Brown ashindwa kuzuia hisia zake kwa Jennifer Lopez

THE BROOKLYN BOROUGH OF NEW YORK CITY, NY - OCTOBER 17: Chris Brown and Jennifer Lopez attend Tidal X: Brooklyn at Barclays Center on October 17, 2017 in the Brooklyn borough of New York City, New York. (Photo by Shareif Ziyadat/FilmMagic)

Chris Brown ameshindwa kuzuia hisia zake kwa Jennifer Lopez.Kwenye mahojiano na Angie Martinez wa Power 105.1, Breezy amefunguka kuhusu anavyomzimia Jlo.

Amesema aliwahi kukutana naye kwenye show na kuingiwa hofu kubwa hata kuongea naye. I was nervous. My palms were sweaty. I said, ‘Hi.’ But, I like you, and I want you.”

Martinez alimueleza kuhusu mrembo huyo kuwa na uhusiano na Alex Rodriguez na Brown Kusema, “Oh, you know what, playboy?” he said. “My bad!”

Aliendelea kumsifia Jennifer, “She can get it anytime. 70 years old, I don’t even care.”

Jlo ana miaka 19 zaidi kwa Brown. Jlo amewahu kumshirikisha Chris kwenye album yake ya nane.

Comments

comments

You may also like ...