Header

Diamond: Sijawahi kulipia collabo na msanii wa US, wote wanakubali kazi zangu

Diamond Platnumz amedai kuwa hajawahi kulipia collabo na msanii wa Marekani. Kwenye mahojiano na Dizzim Online, hitmaker huyo wa Hallelujah amesema wasanii wote aliofanya nao kazi wanakubali muziki wake. Msikilize zaidi hapo chini;

Comments

comments

You may also like ...