Header

Selena Gomez na The Weeknd wamwagana

Uhusiano wa The Weeknd na Selena Gomez umevunjika. Wapenzi hao wanadaiwa kuachana baada ya kudumu kwa miezi 10 tu. Ratiba zao ngumu imedaiwa kuwa chanzo kikubwa cha kuachana kwao.

Hivi karibuni Gomez amekuwa akionekana na ex wake, Justin Bieber. Wiki iliyopita walidaiwa kujumuika pamoja na marafiki. Jumapili walioneaka wakila chakula cha mchana pamoja huko Westlake Village, Calif.

Comments

comments

You may also like ...