Header

Diddy abadili jina tena, sasa anaitwa ‘Love’ aka ‘Brother Love’

Rapper na mfanyabiashara wa Marekani, Sean Combs amebadilisha tena jina lake la utani. Kusherehekea birthday yake ya kutimiza miaka 48, rapper huyo aliyewahi kujulikana kama Puff Daddy, Puffy, P. Diddy, na Diddy ametangaza jina lake jipya kuwa ni Love aka Brother Love.

“I know it’s risky,” amesema kwenye video aliyoweka Instagram. “It could come off as corny to some people. I decided to change my name again. I’m just not who I am before. I’m something different. So my new name is Love aka Brother Love. I will not be answering to Puffy, Diddy, Puff Daddy, or any of my other monikers,” ameongeza,

Brother Love alisherehekea siku yake ya kuzaliwa Jumamosi kwenye kisiwa huko Mexico, akiwa na marafiki zake akiwemo French Montana.

Comments

comments

You may also like ...