Header

Nay wa Mitego amtenganisha Gabo Zigamba na waigizaji wawili wakubwa Tanzania

Msanii wa kizazi cha muziki wa michano na kuimba Tanzania(Bongo Fleva) Nay wa Mitego, ametumbua jipu la nani mkali wa kuvaa kati ya Waigizaji wa kiume kutoka katika tasnia ya maigizo ‘Bongo Movie ambao ni Rammy Galis,Daudi Michael ‘Duma’ na Gabo Zigamba ‘Gabo’.

Kupitia Post ya akaunti Rasmi ya mtandao wa Instagram wa Dizzim Online, Rapa Nay wa Mitego ametoa maoni  yakumtetea Gabo huku akimtenga kwa kauli za kuwa Gabo ni mkali za uvaaji zaidi ya wezake waliotajwa katika ubora wa kiwango cha uvaaji na umnaridadi wa mavazi katika safu ya ‘HomeOfStylish ya Dizzim Online’

Hata hivyo kwa Nay wa Mitego inonesha wazi kuwa ameguswa na hali hiyo ya swali la ubora na umaridadi wa wakali hao kiasi cha kusukumwa kusema anachokiona kama mtazamo wake juu ya hilo.

Comments

comments

You may also like ...