Header

Chris Brown andelea kuvunja rekodi kwa Album yake mpya ‘Heartbreak On A Full Moon’

Studio Album mpya ya Staa Christopher Maurice ‘Chris Brown’, ‘Heartbreak On A Full Moon’ imekua album yake ya 7 kuiachia ambapo imefanikiwa kushika namba moja kwenye chati ya muziki ya Billboard ‘R&B/HipHop Album Chart’.

Album hii katika kufanikiwa kwake, imemfanya Chris Brown kuwa msanii wa kiume pekee aliyewahi kushika nafasi hiyo ya kwa kwanza mara nyingi zaidi kwenye hii chati hiyo ya Billboard.

Cover rasmi ya Album(Heartbreak On A Full Moon)

 

Hata hivyo Chris Brown ameachia album hii rasmi tarehe Oktoba 31 mwaka huu, imebeba idadi ya ngoma 42 ambazo Chris Brown azinaitajwa ‘Heartbreak On A Full Moon’ kuwa ni Double Album.

Comments

comments

You may also like ...