Header

P. Diddy aleta utani kuhusu kubadilisha jina lake

Rapa kutoka marekani, Sean Combs a.k.a P. Diddy ‘Diddy’ baada ya kutangaza kuwa anabadili jina lake siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, amesema kubadili jina lake na kujiita “Love” au “Brother Love” haikuwa kama ilivyo chukuliwa na wengi bali ulikuwa ni utani tu.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rapa Diddy aliweka video nyingine ya kuweka sawa ukweli wake wa kubadili jina ambapo alisema kuwa kwa jinsi taarifa hiyo ilivyopokelewa kikubwa amejifunza kuwa mtu hasicheze na nguvu ya Internet.

Kupitia video hiyo ya Diddy imebaku kuwa mpaka sasa mashabiki na wafatiliaji wake wote wanahitaji kuendelea kumfatilia kwa jina lile lile la P. Diddy au Diddy kama livyokuwa ikitumika kabila ya tangazo hilo la utani.

 

Comments

comments

You may also like ...