Header

50 Cent amchana tena Tyrese

Rapper 50 Cent hamuachi Tyrese apumue tangu alipopost video mtandaoni akimlilia mwanae, Shayla. Rapper huyo ameweka screenshot ya habari inayodai kuwa kwa mara ya pili Tyrese ameshindwa kwenda kumuona mwanae na kutoa sababu za uongo.

Ameandika:

Damn boy, get off your phone shut your IG page down. Oh and um sell me that watch you got on in this picture. I’ll give you half price. LOL #50centralbet #frigo #power

Comments

comments

You may also like ...