Header

Birthday ya Diplo yaongozana na Kolabo ya Major Lazer na Busy Signal

Kundi la muziki na maarufu kutoka nchini Marekani ‘Major Lazer’ linaloundwa na wakali watatu, Diplo, Jillionaire na Walshy Fire limeachia video ya wimbo wao mpya terehe ya kuamkia siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwenzo ‘Dilpo’.

Usiku wa jana kuamkia tarehe ambayo Diplo ametimiza umri wa miaka 39, ulimwengu wawapenda burudani wamepokea zawadi ya kazi mpya toka kwa Major Lazer ‘Jump’ wakiwa wamemshirikisha mkali wa muziki wa danso kutoka Jamaika ‘Busy Signal’.

 

Comments

comments

You may also like ...