Header

Lupita Nyong’o aliwakia jarida la Grazia UK kwa ubaguzi wa rangi

Muigizaji wa Kenya na mshindi wa tuzo ya Oscar, Lupita Nyong’o ameelezea kusikitishwa kwake na kitendo cha jarida la Grazia UK, kuhariri picha walizompiga kwaajili ya cover ya toleo la mwezi huu na kuondoa uhalisia wa ngozi na nywele zake.

Kwenye maelezo yake aliyoyaweka Instagram, Lupita amesema siku zote amekuwa akihakikisha kuwa muonekano wake unabaki kuwa huo huo wa Kiafrika kwakuwa anajipenda alivyo.

Ameandika:

As I have made clear so often in the past with every fiber of my being, I embrace my natural heritage and despite having grown up thinking light skin and straight, silky hair were the standards of beauty, I now know that my dark skin and kinky, coily hair are beautiful too. Being featured on the cover of a magazine fulfills me as it is an opportunity to show other dark, kinky-haired people, and particularly our children, that they are beautiful just the way they are. I am disappointed that @graziauk invited me to be on their cover and then edited out and smoothed my hair to fit their notion of what beautiful hair looks like. Had I been consulted, I would have explained that I cannot support or condone the omission of what is my native heritage with the intention that they appreciate that there is still a very long way to go to combat the unconscious prejudice against black women’s complexion, hair style and texture. #dtmh

Mashabiki wake wanalishambulia jarida hilo wakitaka limuombe radhi Lupita na wasichana wengine wenye rangi nyeusi.

Comments

comments

You may also like ...