Header

Omarion anasherehekea siku moja kwa uzaidi wa miaka 46 ya Rais Mstaafu wa Tanzania

Staa wa muziki, muigizaji, dansa na muandishi wa nyimbo kutoka Marekani, Omari Ishmael Grandberry ‘Omarion’ leo ni siku muhimu na ya kumbukumbu kwake ya kutimiza umri wa miaka 33 ambapo kuna tofauti ya miaka 46 kati yake na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Rais Mstaafu wa awamu ya tatu ‘Benjamin William Mkapa’.

Benjamin Mkapa mwenye heshima ya kuwahi kuliongoza Taifa la Tanzania, ametimiza umri wa miaka 79 na katika kumbukumbu yake kama kiongozi, Dizzim Ingeukia safu ya Burudani kuhusu kile kinachosubiriwa zaidi kutoka kwa Staa wa muziki wa kizazi kipya, Mtanzania na msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ kama kazi ya pamoja na Omarion.

Omarion na Diamond Platnumz katika set ya Video ya wimbo wao

Hata hivyo wakali hawa katika kukutana katika wimbo wa pamoja, hatua ambayo tayari imeshahesabika kukamilika ni ushirikiano wa kuimba na uchukuaji wa video ulifanyika mwezi uliopita hivyo wadau na wapenzi wanahitaji kusbiria muda kuachiwa kwa kolabo hiyo ya Tanzanina na Marekani.

Comments

comments

You may also like ...