Header

Lulu Michael ahukumiwa kifungo siku ya kumbukumbu ya Staa wa filamu ya Sarafina

Muigizaji wa filamu Tanzania Elizabeth Michael ‘Lulu’ amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia Muigizaji mwenzake Steven Charles Kanumba. Katika siku hii ya hukumu imeendana na siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa muigizaji maarugu wa filamu maarufu ya Sarafina ‘Whoopi Goldberg’.

Kava ya Filamu ya Sarafika

Whoopi Goldberg ametimiza umri wa miaka 62 na Muigizaji Lulu amenza kutumikia kifungo cha miaka miwili akiwa na umri wa miaka 22 na inhesabika kuwa tamaliza adhabu hii ya kifungo jela akiwa na umri wa miaka 24 ambayo Whoopi Goldberg atakuwa ametimiza umri wa miaka 64.

Mambo haya mawili yameonekana kugusana katika sura ya kukumbu kwakuwa tarehe 13 Mwezi Novemba mwaka 2017 Tanzania na watanzania wake walioguswa na pokea kwa mjonzi taarifa za hukumu ya miaka miwili jela ya muigizaji Lulu tukio na limegongana katika tarehe ya kumbuku ya kuzaliwa kwa Muigizaji huyo wa Kimarekani ‘Whoopi Goldberg’.

Comments

comments

You may also like ...