Header

August Alsina aichana label ya Def Jam kwa kuchelewesha album yake

Muimbaji wa Marekani, August Alsina ameitupia lawama label yake ya Def Jam kwa kuchelewesha kuitoa album yake ya tatu. Alsina hajatoa album mpya tangu ile ya mwaka 2015, This Thing Called Life.

Staa huyo mwenye umri wa miaka 25 amesema album hiyo itatoka mwakani lakini kama ungekuwa uamuzi wake ingetoka mapema zaidi.

“I would love to put my album out but DEF JAM is holding it/me hostage because the system is not up & running until next year so they basically dont exist,” aliandika kwenye Twitter kumjibu shabiki mmoja. “The label is just TRASH .. I will release free music soon but that has been the hold up. Tell Them to FREE ME & the Album.”

Hadi sasa Trey ameshaachia single nne kujiandaa kutoa album hiyo ambazo ni “Wait,” “Lonely,” “Don’t Matter” na “Drugs.”

Comments

comments

You may also like ...