Header

Blac Chyna awapania kuwashirikisha Rihanna, Trey Songz na Migos kwenye album yake

Blac Chyna amepania kuingia kwa kishindo kwenye ulimwengu wa muziki. Akiongea na XXL, mrembo huyo amesema anataka watu watambue kuwa anachukulia muziki serious.

“I want people to know that I am serious about this. I want to show my progression and my growth and whatnot,” amesema.

Blac amesema kwenye album yake ya kwanza anapenda kuwashirikisha wasanii kama Stefani, Migos, French, Trey Songz na Rihanna.

“Rihanna is queen, of course. She’s everything. She’s life. I just really like her style. She’s always been one of those people that shows growth. She’s never sat still and she’s beautiful,” ameeleza.

Chyna amepanga kuachia wimbo wake wa kwanza kabla mwaka haujaisha. Kuna tetes kuwa album yake tayari ina wasanii kama Tory Lanez, Yo Gotti, na Swae Lee.

Comments

comments

You may also like ...