Header

Prezzo amhakikishia Amber Lulu ‘Sitokuacha kamwe’

Rapper wa Kenya, Prezzo ameonesha kuthibitisha rasmi uhusiano wake na video model aliyegaukia uimbaji, Amber Lulu.

Akiweka picha kwenye Instagram akiwa na Lulu, Prezzo ameandika, “Wacha waongee Lulu wangu, cha msingi we jua niko na wewe. President hatakuwacha uzame kamwe. Ngechu got u mia mia mia #Rapcellency #GodsSon #TheMakiniTeam #MamaCandy.”

Siku kadhaa zilizopita pia aliweka picha nyingine na kuandika, “Pili pili msioila inawawashia nini?? Tuko freshi ka chungwa #LuluMafia #Rapcellency #TheMakiniTeam.”

Hata hivyo kwenye interview na Dizzim Online wiki kadhaa zilizopita, Prezzo alidai kuwa Lulu ni rafiki yake tu.

Comments

comments

You may also like ...