Header

Vanessa Mdee aitaja tarehe ya kuitoa album yake ‘Money Mondays’

Vanessa Mdee ameitaja tarehe ambayo ataitoa album yake ya kwanza, Money Mondays. Kwenye mahojiano ya kipindi cha The Playlist, Vee amesema album hiyo inayosubiriwa kwa hamu itatoka tarehe 20 mwenye December.

Amedai kuchagua tarehe hiyo ili kuwapa mashabiki wake zawadi ya Chrismas.

“Tumekuwa tukiongelea album kwa muda mrefu sana, halafu mimi mwenyewe nilikuwa najiboresha pia, nilitaka kufanya kitu kikubwa, sikutaka kufanya bora album, nilitaka kufanya album bora,” alisema Vanessa.

Comments

comments

You may also like ...