Header

Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish wafichua sura ya mtoto wao wa kiume

Mchekeshaji Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish waweka mtandaoni picha ya mtoto wao wa kiume ‘Kenzo Kash Hart’ kwa mara ya kwanza ambapo imeonekana kuwa wamekata kiu ya wengi na baadhi wakuionekana kutamani  kuona picha zaidi za mtoto huyo.

Hata hivyo Kenzo Kash Hart alizaliwa akiwa ni mwenye afya njema siku ya jumanne kwa mujibu wa tweet ya Kevin Hart katika taarifa ya kupokea ujio wa mtoto wake huyo wa kiume.

Comments

comments

You may also like ...