Header

Lady Jayde asainishwa na label mpya, Taurus Musik

Lady Jaydee amesaini mkataba wa miaka mitatu na label ya Taurus Musik. Ndani ya miaka hiyo, Jaydee ataachia album tatu. Kwenye maelezo yake, label hiyo imeandika:

Taurus Musik, one of Africa’s Biggest and Most Successful record label and artist management company is proud to officially announce the signing of East Africa’s Most Successful Female Artiste, Lady JayDee, on a 3 Year, 2 Album recording deal

Lady Jaydee, the Ndi ndi ndi hit maker has been in the industry for over a decade and has gifted Africa with several hits through the years. She specializes in R&B/Zouk/Afro Pop genres. Lady Jaydee has overtime won been nominated in all most of the prestigious awards across Africa and is the most nominated female artist in Africa in all awards.

Tunde Daniel, Taurus Musik’s Vice-President For Music and Lifestyle has stated that the Label is excited to work with Lady Jaydee in the new phase of her career.
We on behalf of Lady Jaydee state our undaunted commitment to bring you the best of music as the two brands are known for.

Naye Jide ameandika:

Mara ya kwanza kabisa ku sign na record label ilikuwa 2001 ambapo nili sign mkataba wa Albums 2. Album yangu ya kwanza Machozi 😭😭na album ya pili Binti 💪🏽💪🏽 Baada ya hapo sikuwahi ku sign tena mkataba mwingine wowote hapo katikati, Bali nilikuwa nafanya kazi na ndugu jamaa na marafiki wa karibu ambao nawashukuru sana kwa mchango wao mkubwa katika kuniendeleza na kunipa moyo.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽✌🏽✌🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽✌🏽✌🏽🙏🏽🙏🏽
Ninapoufunga mwaka 2017 naufunga kwa Neema ya kipekee kwani kwa mara ya pili katika career yangu ya muziki nime sign na @taurusmusik na natarajia mambo makubwa zaidi ya hapo nyuma kwani kila hatua naamini inatakiwa kukusogeza katika kupanda juu zaidi
Mapenzi tele kwa fans, family, kila mmoja ambae amechangia mimi kuwepo hapa bila kutaja jina la mmoja mmoja , na hata wale tuliotofautiana lakini bado walichangia kufanikiwa kwangu hata kama ni 1% ( huo ni ubinaadam )na watu wote wenye imani na Lady JayDee ✌🏽❤️💋
Ila Mama yangu mzazi ndio mwanamke pekee anaenipa nguvu na sababu ya kuendelea mbele kila kukicha ❤️Nani Kama Mama ?❤️ #TunasongaMbeleHaturudiNyuma
#SikuYaKuchokaNdioSikuYaKufa
#KeepTheFireBurning 🔥🔥🔥🔥

Comments

comments

You may also like ...