Header

Jay Z na Kendrick Lamar waongoza kwenye nomination za Grammy 2018

Magwiji wa muziki wa Hip-hop, JAY-Z na Kendrick Lamar wameongoza kwa kutajwa zaidi kuwania tuzo za Grammy mwaka 2018.

Bosi wa Roc Nation ametajwa kuwania vipengele 8 vikiweko Record of the Year (“The Story of O.J.”), Song of the Year (“4:44”) na Album of the Year (4:44).

Naye Kendrick Lamar ametajwa kuwania tuzo 7 na Bruno Mars 6. Tuzo hizo zitatolewa January 28.

Comments

comments

You may also like ...