Header

Maua Sama: Kufanya video ya Kiba 100 kulitaka kunivunja mbavu kwa kicheko

Maua Sama amekiri kuwa almanura avunje mbavu zake kutokana na kicheko wakati wa kushoot video ya Kiba 100 ya Roma na Stamina.

Ameimbia Dizzim Online,” Yaani kwenye ile video kulikuwa na utani sana kwasababu mwanzo mpaka mwisho ilikuwa ni funny story-line, ilikuwa  zaidi ya kichekesho.”

“So nilikuwa naenjoy  zaidi kuliko kufanya kazi, yaani naweza kusema katika video zote nilizofanya hii ilikuwa rahisi sana kwangu.”

Kwenye video hiyo pia anaoekana Dk Louis Shika.

Comments

comments

You may also like ...