Header

November 2017

November 27, 2017

Roma: Rostam haitokuja kuwa na mwisho

Rapper Stamina amesema kundi lake na Roma, Rostam, litaendelea kuwepo kwa muda mrefu. Ameiambia Dizzim Online, " Kwa wale wasiofahamu ROSTAM ni nini, naweza kusema ni kundi,ni joint, ni project ni familia. Ameongeza, "Pia kwa wale ambao walikuwa hawajui ROSTAM ... Read More »

November 27, 2017 0