Header

November 2017November 3, 2017

Ty Dollar $ign kutumbuiza Kenya December 2

Muimbaji wa Marekani, Ty Dollar $ign anatarajia kutumbuiza jijini Nairobi, Kenya December 2. Atatumbuiza kwenye tamasha la Jameson Concepts Kenya kwenye viwanja vya Uhuru Gardens. Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Tyrone William Griffin Jr. anafanya vizuri na ... Read More »

November 03, 2017 0