Header

Young Dee airudisha ‘Takeu Style’ ya Mr Nice kwenye ngoma mpya ‘Kiben10’

Young Dee ametukumbusha enzi za TAKEU STYLE, mtindo wa muziki uliompa umaarufu Mr Nice Afrika Mashariki enzi hizo. Rapper huyo amewatumia watayarishaji Mr T Touch na David Machord kusample ngoma ya Nice ‘King’asti’ kutengeneza ngoma mpya ‘Kiben10’ aliomshirikisha Dayna Nyange. Pia mwishoni kinasikika kionjo cha wimbo wa kundi la Kenya, Kleptomaniacs.

Usikilize wimbo huo hapo chini:

Comments

comments

You may also like ...