Header

Chance The Rapper na Kendrick Lamar wavutia majina mengi zaidi ya watoto Marekani

Wazazi wengine nchini Marekani wanawapa majina watoto wao Chance na Kendrick kwa mujibu wa mtandao wa BabyCenter.com.

Chance The Rapper amekuwa mstari wa mbele kusaidia watoto kwao mjini Chicago na hivyo kuwashawishi wazazi kuwapa watoto wao jina lake. Jina lake limekuwa maarufu kwa asilimia 21 kwenye website hiyo.

Naye Kendrik Lamar kupitia muziki wake ameweza kubadilisha maisha ya watu na hivyo kumlipa fadhila kwa kuwapa watoto jina lake. Jina lake limeongezeka umaarufu wa asilimia 9.

Comments

comments

You may also like ...