Header

Kassim Mganga: Dogo Janja na Uwoya walikuwa na uhusiano wa muda, kuoana lilikuwa jambo la heri

Fundi wa muziki wa Bongo Flava, Kassim Mganga amedai kuwa uhusiano wa Dogo Janja na Irene Uwoya ulianza muda mrefu na hivyo hakushangaa kushuhudia ndoa yao. Kassim amekiambia kipindi cha The Playlist cha Times kuwa wawili hao kufunga ndoa lilikuwa ni jambo la heri.

“Nilipoona wamefikia hatua ya kuhalalisha jambo la kumpendeza Mwenyezi Mungu nilifurahi na nikashiriki kwasababu ni jambo la heri kiukweli,” alisema Kassim.

Ndoa ya Dogo Janja na Irene Iwoya ilifungwa mwanzoni mwezi November.

Comments

comments

You may also like ...