Header

Eminem ajaza waimbaji kwenye album mpya ‘Revival’

Eminem anaratajia kuachia album yake ya 8, Revival December 15. Album hiyo ina jumla ya nyimbo 19 na ni ya kwanza tangu aachie The Marshall Mathers LP 2 mwaka 2013.

Ngoma ya kwanza ni ile aliyomshirikisha Beyonce, “Walk On Water,” huku pia akiweka waimbaji wengi zaidi kwenye ngoma zingine wakiwemo Ed Sheeran (“River”), Alicia Keys (“Like Home”), X Ambassadors (“Bad Husband”), Skylar Grey (“Tragic Endings”), Kehlani (“Nowhere Fast”), Pink (“Need Me”), na PHresher (“Chloraseptic”).

Comments

comments

You may also like ...