Header

Harmonize: Sarah ni mke na Wolper ni demu tu

Harmonize hana maneno mazuri sana kwa ex wake Jacqueline Wolper ambaye leo hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kwenye mahojiano na Dizzim Online, hitmaker huyo wa Matatizo aliulizwa kuhusu anavyomchukulia ex wake huyo ukilinganisha na jinsi anavyomchukulia mpenzi wake wa sasa Sarah na majibu yapo kwenye video hiyo chini:

Comments

comments

You may also like ...