Header

Mimi Mars: Kwa sasa nipo single

Muimbaji wa ‘Sitamani’ Marianne Mdee aka Mimi Mars amedai kuwa yupo single. Kwenye mahojiano na Dizzim Online, mrembo huyo amedai kuwa hata kama siku akiwa kwenye uhusiano hawezi kuyaanika sababu si mtu wa aina hiyo.

“Right now personally I am single lakini hata nikipata mtu huko mbeleni nitakuwa hivyo hivyo jinsi ambavyo hawajui na hawatojua,” alisema Mimi Mars.

Pia Mimi Mars amedai kuwa kamwe hamwezi kuwa na uhusiano na mtu maarufu. Anapenda kuwa na mwanaume Mcha Mungu, mpiganaji na anayejielewa.

Comments

comments

You may also like ...